5/20/2021

BREAKING News: Huduma ya kununua LUKU kupitia simu za mkononi yarejea

 


Huduma ya ununuaji umeme kielektroniki kupitia simu za mkononi yarejea baada ya kukosekana kwa siku tatu na kuacha wananchi wakilalamika.

Awali huduma hii ilikuwa ikipatikana katika ofisi za TANESCO ngazi ya mikoa na wilaya ila sasa imerejea na inapatikana katika mitandao yote ya simu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger