AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo maarufu kama Carlinhos amevunja mkataba na klabu yake ya Yanga na kurejea nchini kwao Angola huku sababu za kifamilia zikitajwa kuwa chanzo cha nyota huyo kuomba kuvunja mkataba
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK