Brigedia Jenerali Rajabu Mabele ateuliwa kuwa Mkuu wa JKT
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Brigedia Jenerali Rajabu Mabele kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa akichukua nafasi ya Meja Jenerali Charles Mbuge aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Aidha, Kanali Absolomon Shausi ameteuliwa na Rais Samia kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA-JKT


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE