CEO wa Label ya MAVIN Records Donjazzy Aibuka na Kumtetea Diamond Platnumz "Diamond ni Tajiri Kuliko Walichotaja Forbes"

 


CEO wa Label ya #MavinRecords @donjazzy kutokea nchini Nigeria šŸ‡³šŸ‡¬ anaungana na @diamondplatnumz kuwalaani @forbes kwa orodha yao walioitoa hivi karibuni ya Mastaa wenye Mkwanja Mrefu zaidi Afrika


Kupitia ukurasa wa instagram wa @diamondplatnumz leo amewatolea uvivu jarida hilo la @forbes kwa kuchapisha ujumbe ulioashiria kutoridhishwa na list iliyoripotiwa hivi karibuni na vyombo vya habari mbalimbali vikilihusisha jarida hilo


Hivyo #Donjazzy kupitia Post hiyo ame-comment maneno yalioashiria kuungana na star @diamondplatnumz katika kuwakemea @forbes


"Tell them Baba lao" ✍️....@donjazzy


"He is difinitely richer than that" ✍️...@donjazzy


Pia mastaa kibao kama vile @thisiswurld @officialpraiz na wengine wameonesha kumuunga mkono staa huyu kwenye post hiyo


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE