David Kafulila aupewa mkoa wa Arusha, Kimanta amestaafuRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu amemteua David Kafulila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha akichukua nafasi ya Idd Hassan Kimanta ambaye amestaafu.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE