.

5/25/2021

Dayna Nyange na Davido wana jamboMashabiki wa muziki bila shaka wameshaanza kunusa harufu ya muziki mzuri kutoka kwa muimbaji wa Tanzania @daynanyange pamoja na staa mkubwa wa muziki Afrika kutoka Nigeria @davido .Dayna alipost picha mtandaoni na kuonyesha ishara huwenda kuna kitu kikubwa kinakuja kutoka kwa wawili hao ambao walikutana nchini Nigeria.Mapema wiki hii Nyange alitakangaza kuja kivingine kwenye muziki wake akiwa na ngoma nyingi chini ya uongozi wake mpya.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger