Diamond alamba dili lingine, miezi miwili madili makubwa mawili

advertise hereKupitia ukurasa wake wa Instagram staa wa Bongo Fleva @diamondplatnumz amethibitisha kusaini dili na kampuni ya Warner Music kutoka nchini Afrika Kusini. Ikumbukwe april 9 alitangaza kusaini dili lingine na kampuni ya muziki ya Mziiki ambalo alieleza kuwa ni dola milino 5 sawa na zaidi ya bilioni 10 za Kitanzania.

Licha ya dili lililopita kutaja kiasi cha fedha alichosaini na Mziiki awamu hii hajataja kiasi chochote na je ni kwa ajili yake pekee au pamoja na wasanii wote wa WCB kama ilivyokuwa kwa #Mziiki?


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE