5/17/2021

Diamond Platnumz Akimbilia Zanzibar, Unaambiwa Kaenda Kulifanya Hili


Star kutokea nchini 🇹🇿 @diamondplatnumz amethibitisha kusafiri leo kuelekea zanzibar kwa ajili ya kuikamilisha album yake aliyokua ameanza Kuiandaa Mwezi Uliopita

Kupitia ukurasa wake wa instagram ame-share kipande cha video akiwa anapanda ndege na kubainisha ujumbe huu 👇🏽

#Zanzibar for another week of my album finalisation" ✍️.....@diamondplatnumz

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger