.

5/22/2021

Dogo Janja aachia album yake ambayo ameshirikisha wasanii wa kike zaid
Msanii wa muzikiBongofleva kutoka lebo ya Madee MMB Dogo Janja hatimaye amewaka kiu mashabiki wake baada ya kuidondosha Rasmi album iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu inayokwenda kwa jina la #AsanteMama

Album hii ina jumla ya ngoma 11 ambapo Ngoma 10 kati ya hizo Janjaro ameshirikishwa ma-star wa kike tu, Baadhi ya mastaa hao ambao wameshirikishwa ni pamoja na @officialnandy @jidejaydee @officialkhadijakopa @rosa_ree @mauasama @officiallinah @luludivatz @mimi_mvrs11 pamoja na @patrisiahillary

Huku kwenye bonus track kwenye album hiyo amewashirikisha ma-star wa kiume kutokea nchini Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ waliokua wanaunda Kundi la Muziki la #GoodLyfe @radioandweasel na Wimbo huu ni #MyLifeRemix , ngoma hiyo huenda ilifanyika miaka kadhaa iliyopita kutokana na kwamba Msanii #Radio hayupo duniani ametangulia mbele za haki.#RIPRADIO.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger