.

5/23/2021

Hongera mtani, umepambana – Dismas Ten
Aliyekuwa Afisa Habari wa Klabu ya @yangasc Dismas Tena amewapa hongera watani zao @simbasctanzania kwa kupambana katika mchezo wao dhidi ya Kaizer Chiefs licha ya kujali matokeo.“Sijali kuhusu matokeo, kitu muhimu ni namna ulivyo pambana hongera mtani kwenye hili la kimataifa ni wazi umekomaa. Turejee kwenye ligi tujiandae kwa mashindano hayo ya kimataifa mwakanj, kwa pamoja tuunganishe nguvu tuvuke pale ulipofikia.” – ameandika @dismasten

Licha ya ushindi huo wa magoli 3 – 0 lakini #simbasc haikuweza kufuzu hatua ya robo fainali na kutokana na kuruhusu magoli 4 – 0 kwenye mchezo wao wa kwanza pale Afrika Kusini.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger