Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kidato cha Sita Kuanza Mitihani ya Kesho

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Dk Charles Msonde ametangaza kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita Tanzania Bara na visiwani.

 

Msonde amesema, takribani wanafunzi 90,025, wanatarajiwa kufanya mtihani wa Kidato cha Sita kuanzia kesho Jumatatu tarehe 3 hadi 25 Mei 2021.

 

Aidha Msonde amesema Baraza la mitihani halitakubali watainiwa wabainike kufanya udanganyifu wa kupangwa na shule, kuna vikosi kazi vimewekwa, “hatutavumilia na likitokea suala hilo, mkuu wa shule atawajibika”.


Post a Comment

0 Comments