Kikosi cha Simba chatua salama Mtwara


KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Mei 28 kimewasili Mtwara ili kuunganisha safari kuelekea Ruangwa.
Kesho Mei 29 kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu Bara,

Ni mchezo wa kwanza kwa Namungo v Simba kumenyana ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21.

Miongoni mwa wachezaji ambao wapo kwenye kikosi hicho ni pamoja na Chris Mugalu, Meddie Kagere, Taddeo Lwanga.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE