Kikosi cha Simba chawasili salama Dar kikitokea Afrika Kusini


KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Didier Gomes leo Mei 17 kimewasili salama Tanzania kikitokea nchi Afrika Kusini.
Kimeongonzana na viongozi wake ikiwa ni pamoja na Crestius Magori ambaye alikuwa Kwenye msafara huo.

Afrika Kusini kilipoteza kwa kufungwa mabao 4-0 dhidi ya Kaizer Chiefs hivyo kinarudi kwa ajili ya maandalizi ya robo fainali ya pili ya marudio katika Ligi ya Mabingwa Afrika. 

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Mei 22, Uwanja wa Mkapa.


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE