Lulu Amtolea Mtu Uvivu, Kisa Mimba

advertise hereMwigizaji wa Bongo Movies, Elizabeth Michael au Lulu amekuwa gumzo kutokana na ujauzito wake hasa za hivi karibuni baada ya kusambaa kwa video zikimuonesha akiwa na ujauzito huo.Lulu amekuwa akiufichaficha ujauzito huo ilihali unaonekana kabisa, jambo ambalo limesababisha baadhi ya watu kumsemasema ndipo Lulu akamtolea uvivu mmoja wa mashabiki hao.

 

Kuwepo kwa maoni mengi huku akitakiwa kuachia mimba ili watu waone, ndipo Lulu akajibu; “Tabu ninayopata ni kama unayopata wewe ku-comment kwa mhaho na hakuna mimba yako iliyopotea!”


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE