Maamuzi Yaliyofikiwa Kuhusu Mechi ya Simba vs Yanga


Waziri Innocent Bashungwa baada ya kikao cha pamoja ameagiza mashabiki 43,947 waliokata tiketi kuona mechi ya Simba na Yanga kurejeshewa tiketi zao ili wazitumie mchezo huo utakapofanyika. Ameelekeza pia mfumo uruhusu ambao hawakuwa na tiketi kuweza kununua endapo wakitaka.

 

Maelekezo ya Serikali juu ya hatima ya mechi iliyoahirishwa ya Yanga SC na Simba SC Mei 8, 2021
1. Mechi itarudiwa (kwa tarehe itakayopangwa.
2. Mashabaki waliolipia kurejeshewa tiketi upya ili waweze kuingia uwanjani
3. Ruksa kwa mashabiki wapya kununua tiketi za kuuona mchezo huo.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE