Mabadiliko Polisi : Mambosasa Ahamishiwa Dodoma, Wambura Arejeshwa Dar

 


SACP Lazaro Mambosasa ametakiwa kuhama kutoka kuwa Mkuu wa Polisi kanda Maalum Dar, na kwenda kuwa Mkuu wa Oparesheni UPEL Dodoma


Polisi wengine waliohamishwa ni SACP Camilius Mongoso Wambura ambaye anatoka Dodoma na kuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar


ACP Daniel Shillah amehamishiwa Dar na atakuwa Mkuu wa Upelelezi. ACP Longinus Tibishibwamu atakuwa Kamanda Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mara


SSP Optatus Maganga amehamisha kutoka kuwa OCD Makete kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Njombe. SP Vitus Marekani atakuwa OCD wilaya ya Makete

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE