5/07/2021

"Majani Alikuwa Hana imani na Mimi" - Producer Lamar

 


Producer wa muziki wa BongoFleva Lamar Fishcrab amesema kabla ya kuwa mtayarishaji wa muziki alikuwa rapa na msanii aliyekuwa anamtazama kwa kipindi hicho alikuwa ni Bow Wow kutoka nchini Marekani. 

Pia kupitia heshima ya BongoFlava kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, Producer Lamar amesema yeye na Producer P Funk Majani ni mtu na binamu yake lakini Majani alikuwa hana imani naye kwenye upande wa utayarishaji wa muziki japo alimuonesha kwamba anaweza kuandaa muziki.

Lakini Baadaye Producer Dunga ndiye aliyempa imani P Funk Majani mpaka kuanza kumkubali na kumuamini Lamar amekwiva kuwa mtayarishaji wa muziki.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger