5/20/2021

Mbunge ACT-Wazalendo afariki dunia
MBUNGE wa Konde (ACT -Wazalendo), Khatib Said Haji, amefariki dunia mjini Dodoma, alikokuwa akihudhuria mkutano wa Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Ni mbunge wa tatu kufariki dunia k
atika Bunge hili la 12 lililoanza Novemba 2020.

Wengine waliotangulia ni; Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Martha Umbulla, aliyefariki tarehe 21 Januari 2021, Mumbai, nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu na Atashasta Nditiye wa Muhambwe mkoani Dodoma aliyefariki tarehe 12 Februari 2021, kwa ajili jijini Dodoma.

Taarifa zaidi, endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger