Mbunge Mwijage "Nashindwa Kwenda Misiba ya WATOTO Wananiona Mimi Mchawi..Nisaidieni"

advertise here

 


Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage amesema Wananchi wanamwona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki wakisafiri kwenye Mitumbwi wakati wa kwenda Shuleni kwasababu yeye ndiye aliyehamasisha Watoto kupelekwa Shule


Ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Elimu na TAMISEMI kupeleka fedha kwa ajili ya ujenzi wa Mabweni katika Shule ya Bumbile ili Wanafunzi waache kusafiri kila mara kwenda Shuleni


Ameongeza kuwa yeye pamoja na Wataalamu walinusurika kifo mwezi Februari kwasababu kutulia au kuvurugika kwa Ziwa hakutabiriki na hali huweza kubadilika wakati wowote tu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE