Meya, Mkurugenzi Kinondoni Wavurugana Mkutanoni

 
MKURUGENZI wa Manispaa ya Kinondoni na Meya wamefarakana baada ya kuibuka kwa hoja kutoka kwa mmoja wa madiwani ya viongozi wa Serikali waliokamatwa hivi karibuni kwa kudaiwa kufuja fedha za makusanyo ya Serikali na kuswekwa ndani ambapo wakati akijibu hoja hizo mkurugenzi amesema kuwa aliagiza vyombo vya ulinzi viwakamate kutoka na ubadhilifu wa fedha hizo.

 

Mkurugenzi amekazia kwamba yeye anatekeleza majukumu yake katika kuhakikisha anatekeleza wajibu wake. Pia akasema vikao vya madiwani vimekuwa vikimjadili kwa maslahi yao binafsi na ndipo mgogoro ukaibuka ndani ya kikao cha baraza la madiwani.


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE