Mkali Wenu: Mtoto wa Amber Lulu, ni wa Harmorapa Kweli

MUIGIZAJI maarufu wa vichekesho nchini, Mkali Wenu, amezungumzia sakata la Amber Lulu na Hamorapa huku akieleza kuwa ana uhakika mtoto wa Amber ni wa Harmorapa kama ambavyo mwenyewe alijitokeza mitandaoni na kudai hivyo.

 

Harmorapa ambaye amekuwa haishiwi vituko na kiki, alidai kuwa mtoto wa Amber Lulu ni wake lakini baadaye lilitokea varangati akakamatwa na anayesemekana ni baba wa mtoto huyo, aitwaye Botion lakini baadaye Botion naye alikamatwa na polisi kwa tuhuma za kumshushia kisago Harmorapa.


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE