Mo Dewji ampongeza Diamond Platnumz kuwania tuzo ya BET
Kupitia ukurasa wake wa Instagram tajiri huyo ameandika ujumbe huku akiambatanisha picha yake na Diamond na kuandika kuwa: 

“Hongera sana @diamondplatnumz kwa kuteuliwa kuwania moja kati ya tuzo za #BETawards
Tunajivunia sana wewe na tunakuombea. Endelea kutuwakilisha. #BongoFlava worldwide.
//
Congratulations to Diamond Platnumz for the #BETawards nomination for Best International Act. We are proud

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE