.

5/25/2021

"Mtaanu Walikuwa wananiita kigulu, Walinitegeshea Tego" - G Nako Warawara

 


Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa msanii G Nako Warawara ambaye ameshea "fun fact'' yake ambayo ilimfanya kuteguka mguu wakati anacheza mpira na watu kuanza kumuita jina la kigulu  

"Fun Fact kuhusu mimi ni kipindi nacheza mpira jamaa waliniwekea buyu kwenye mpira, walikuwa wanajua napenda sana mpira hivyo walitengeneza jiwe ambalo limesukwa vizuri kama mpira wakaweka kisha nipige, nilivyopiga mguu ulitenguka kwa hiyo tangu siku hiyo wakawa wananiita kigulu huko mtaani kwetu Makao Mapya Arusha" amesema G Nako 


G Nako kutokea Kampuni ya Weusi anatajwa kama ni mmoja wa wasanii bora kwenye upande wa vitikiio yaani choras killer na ameshatoa hit songs kibao kama mama yeyoo, gusanisha, arosto na kitonga

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger