5/11/2021

Mume Aua Mkewe Kisha Naye Kujimaliza Kwa Kujinyonga Kisa Kagongewa
Edward Manyangu (41) Mkazi wa Wilaya ya Busega anadaiwa kumuua Dalali Maunga (41) kwa kumpiga na kitu kizito kichwani baada ya kutokea Ugomvi ambapo Mwanaume alimtuhumu Mkewe kuwa na uhusiano nje ya Ndoa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Richard Abwao, amesema baada ya kutekeleza mauaji hayo, Manyangu alijiua kwa kujinyonga kwa kamba aliyofunga kwenye Mti ulioko nje ya nyumba yao

Kwa mujibu wa ujumbe wa maandishi unaoaminika kuandikwa na Manyangu, alikuwa akimtuhumu Mkewe kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Mwanaume mwingine.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger