.

5/29/2021

Nay wa Mitego Apata Ajali ya Piki Piki Akiwahi InterviewTaarifa zilizoripotiwa hivi punde zinaeleza kuwaMsanii wa HIP HOP nchini, @naytrueboytz
amepata ajali ya bodaboda wakati anawahi kwenye Interview ya kipindi cha "Friday Night Live" kinachorushwa na East Africa TV, kwa sasa msanii huyo yupo katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni akipatiwa matibabu.....

Tuzidi kumuombea ๐Ÿ™๐Ÿฝ
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger