Nay wa Mitego: Nadaiwa ada ya mtoto, Tunaachia goma tukalipe ada
Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego ameandika kuwa: Subscribe Kwenye YouTube Channel Yangu Now Next Week Tunaachia Ngoma. Simnajua Nadaiwa Ada😂 Sasa Tunaachia Goma Tukalipe Ada Ya Mtoto #Chini

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE