5/12/2021

Nick Minaj atangaza ujio mpya wa ngoma baada ya kumaliza muda wake wa uzazi

 


NI Headlines za Mkali kutokea Marekani, Nick Minaj ambae kwa ujumbe huu anadhihirisha umma kwamba tayari amemaliza muda wake wa uzazi na kutangaza Ijumaa 14TH kuachia wimbo mpya kwa mashabiki wake.


Kwa wale mashabiki wa Nick Minaj mkae tayari kwa ujio huo mpya kutoka kwake.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger