5/10/2021

Nilikuwa mkristo nikasilimu - Uchebe

Fundi wa magari Uchebe ameshea stori kwamba aliwahi kuwa katika dini ya Uikristo lakini akaamua kubadili dini hiyo na kuhamia kwenye Uislam.
Uchebe amesema hiyo ni historia ndefu ila watu wafahamu kwamba amehamia kwenye Uislam zaidi ya miaka 8 iliyopita na ana imani atafanikiwa katika dini hiyo.

"Ni historia ndefu sana lakini mimi nimesilimu karibia miaka 8 na zaidi iliyopita, wajue tu mimi nilikuwa mkristo nikasilimu kuwa muislam,  mpaka leo ni muislam na kwa uwezo wa Allah nitaenda kufanikiwa nikiwa muislam, kipindi hicho nilikuwa kijana wa kawaida tu ambaye napambana na maisha yangu" amesema Uchebe


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger