.

5/28/2021

Nimepata mtoto wa kiume, huyu ni mtoto wa pili kwa mke wangu Bi. Amina- Alikiba

 Nyota wa muziki nchini, msanii AliKiba  amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa za kupata mtoto wa pili na mkewe Amina. "Nimepata mtoto wa kiume, huyu ni mtoto wa pili kwa mke wangu Bi. Amina" - ameeleza.
Sanjali na hilo, Boss huyo wa lebo ya King's Music Records, pia amefunguka kuhusiana na wale wote wanaosema vibaya kuhusu ndoa yake.

Kiba amesema kuwa kila mtu na uelewa wake wa mambo huwezi kubishana nae kwakuwa kila mtu ana namna anavyoweza kutafsiri mambo bila kufahamu chochote.

"Kuna watu wanaongea sana kuna maongezi ya faida lakini kuna wengine wanaongea bila faida hawajui chochote" - amsema Alikiba kwenye mahojiano na kipindi cha Leo Tena, CloudsFm leo Alhamisi.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger