Polisi wa Uingereza wamtafuta mtu mmoja aliyejaribu kumnunua mtoto kutoka kwa mama yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Vikosi vya usalama vinamtafuta mtu ambaye aliyejaribu kuchukua mtoto kutoka kwa mwanamke barabarani katika eneo la Dudley nchini Uingereza.

Kulingana na taarifa kutoka Polisi wa West Midlands, mwanamke mmoja aliyekuwa akitembea na mtoto wake kwenye toroli nyakati za asubuhi siku ya Jumannea ambapo mtu mmoja alianza kumkaribia.

Mtu huyo alitaka kumnunua mtoto kutoka kwa mama yake. Mtu huyo aliyezuia njia ya mwanamke huyo alijaribu kufungua mikanda ya viti vya toroli.

Mama huyo alifanikiwa kumsukuma mtu huyo na kutoroka na mtoto wake bila kupata madhara.

Wakati polisi wanaamini hili lilikuwa tukio la pekee kwa sasa, wameanzisha msako wa kumtafuta mtu huyo aliyehusika.

Gumzo la moja kwa moja limefunguliwa kwenye mtandao kwa wale ambao wanataka kutoa taarifa juu ya tukio hilo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad