Prof Jay "Basata Kufanya Majaribio Katika Ajira Zetu Haikubali"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Star wa hip-hop nchini @professorjaytz ameingilia kati sakata linaloendelea kwa sasa linalohusisha sheria mpya iliyopitishwa na baraza la sanaa nchini ya kuzipitia nyimbo za wasanii kabla ya kupeleka kwenye vituo vya redio na tv

#ProfJay ameitaka serikali iliangalie swala hili kwani linawaumiza wasanii na kuikandamiza sanaa na kuongeea kuwa sanaa ni ajira kamili kwao


"SERIKALI na @basata.tanzania mna wajibu mkubwa sana wa kuhakikisha mnatusaidia WASANII, Kutuunga mkono na kutatua changamoto zetu nyingi zinazotukabili Ikiwemo marekebisho ya Sheria namba 7 ya mwaka 1999 ambayo ina mapungufu makubwa sana na inawaumiza sana WASANII pamoja na suala la makusanyo ya MIRABAHA ya WASANII kulipwa na sio kuja kuleta tatizo JIPYA la Mifumo ya kuikandamiza sanaa na kuua NDOTO za wasanii wengi wanaojiajiri kwenye mazingira magumu sana kupitia Sanaa na wanaojitahidi kuchangia PATO la TAIFA letu kupatia kulipa KODI,SANAA ni AJIRA kamili basi iacheni iwe HURU,

#MIPAKA KWENYE SANA HAIKUBALIKI" 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad