.

5/20/2021

Rais Samia Atoa Salamu za Pole kwa Spika Ndugai

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa Wabunge na Bunge kufuatia kifo cha mbunge wa Jimbo la Konde, kisiwani Pemba, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, ambaye amefariki Dunia leo Mei 20, 2021 jijini Dar es salaam.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger