Rais Samia kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani na Majaji wa Mahakama Kuu leo

advertise here
Rais Samia  ataawapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani na Majaji wa Mahakama Kuu leo Jumatatu May 17,2021 kuanzia saa 9:00 Alasiri.
Viongozi hao wataapishwa katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu Dar es salam

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE