.

5/29/2021

Rapa Chemical ahitimu masters UDSM, apata scholarship kusoma PHD Scotland chuo alichosoma Prince Harry (Video)

 


Msanii wa muziki wa hip hop kwenye muziki wa Bongo Fleva, @chemical_tz wiki hii amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management ambapo hatua hiyo imemfanya kupata scolaship ya kwenda kusoma PHD nchini Scotland katika chuo ambacho amesoma Prince Harry.

Rapper huyo amemshukuru mwalimu wake @ichumbaki kutoka mradi wa @urithiwetu aliyenisimamia mpaka nikafanikisha vyote hivyo.

VIDEO:


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger