Sababu za nywele kunyonyoka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Kama umegundua nywele zako zinanyonyoka, usichanganyikiwe. Sababu inaweza kuwa rahisi. Inaweza kuwa ni ukosefu wa vitamin au sababu za kinasaba ( urithi ).

Zifutazo ni sababu kwa nini nywele zako zinanyonyoka;

Stress

Kila aina ya physical and emotional pain inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. . Ajali ya gari au kufanyiwa upasuaji vinaweza kukusababishia stress ambayo itakuletea kunyonyoka kwa nywele zako. Emotional stress hazisababishi kunyonyoka kwa nywele lakini inaweza kutokea pale unapokuwa katika wakati mgumu kisaikolojia kama vile kumpoteza mtu wako wa karibu kutokana na kifo au kuachwa kimapenzi. Hata hivyo,. Baada ya wakati huo mgumu, nywele zako zitaanza kuota tena baada ya miezi sita.

Homoni

Kunyonyoka kwa nywele kunaweza kuwatokea wanawake walio katika menopause kutokana na kuadilika kwa viwango vya homoni. Inaweza kutokea pia kwa wanawake wanaotumia vidonge vya uzazi wa mpango hususani wanapokuwa wanaahirisha mara kwa mara zoezi la kutumia vidonge hivyo. Unashauriwa kama unatumia vidonge kwa uzazi wa mpango, basi hakikisha unazingatia ratiba na usiahirishe hata mara moja.

Ukosefu wa Protini au Hamirojo

Ukosefu wa protini unaweza kudhoofisha ukuaji wa nywele au kusababisha kunyonyoka kwa nywele kabisa na hatimaye kuwa na kipara kabisa.

Ujauzito

Ujauzito ni miongoni mwa mambo yanayo leta physical stresses and there are also na pia huleta mabadiliko ya homoni. Kunyonyoka kwa nywele hutokea baada ya kujifungua.

Kurithi

Kama mmoja kati ya wazazi wako au babu zako wa upande wa baba au mama aliwahi kuwa na tatizo la kunyonyoka nywele au kuwa na kipara kabisa, basi kuna uwezekano mkubwa sana kwa jambo hilo kutokea kwako pia kwa sababu za urithi. Hakuna maelezo yoyote ya kitabu kuhusu jinsi ya kukinga suala hili , hata hivyo unaweza kujaribu kutumia vyakula na dawa mbalimbali bila kujali sababu iliyo fanya unyonyoke nywele au kuwa na kipara.

Vinasaba vya kiume

Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonyesha kuwa, wanaume wengi wana anza kuonyesha dalili za kunyonyoka mwele wakiwa na umri wa kuanzia miaka sitini ( 60) na kuendelea. So kama wewe ni mwanaume mwenye umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea na nywele zako zimeanza kuonyesha dalili za kunyonyoka, huna haja ya kupanic wala kutafuta tiba, kwani suala hilo ni la kawaida kabisa kwa wanaume wenye umri wako.

Anemia

Anemia husababishwa na ukosefu wa madini ya chuma katika damu. Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili (anemia ). Hata hivyo, ili kupambana na tatizo hili unachotaiwa kufanya ni kuzingatia matumizi ya vyakula vyenye madini ya chuma katika mlo wako.

Matumizi ya vitamin A kupita kiasi.

Malimbikizo ya vitamin A mwilini husababisha kunyonyoka kwa nywele. Hata hivyo kunyonyoka kwa nywele kunako sababishwa na malimbikizo ya vitamin A mwilini huwa ni kwa muda tu. Nywele zako zitarejea katika hali yake ya kawaida utakapo punguza matumizi ya vyakula vyenye vitamin A kwa wingi kupita kiasi kwa sababu mwili wako utaweza kubalance vitamin zote mwilini.

Kupunguza uzito kwa haraka.

Kupungua uzito kwa haraka kunaweza kukufurahisha. Lakini hata hivyo, hii inaweza kukusababishia kunyonyoka kwa nywele kutokana na stress zilizo sababishwa katika mwili wako.

Matatizo kwenye tezi aina ya thyroid ( Thyroid Gland )

Thyroid gland ina husika na michakato mbalimbali katika mwili wa mwanadamuikiwemo ukuaji wa nywele. Kama tezi hii haizalishi homoni za kutosha, inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. Ukiwa katika situation hii, unashauriwa kumuona daktari kwa ushauri zaidi.

 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad