Samia Suluhu "Tumevaa Barakoa Sababu ya Kuwalinda NYIE Wazee""Tunaomba radhi, mtindo wa maisha umebadilika tumekuja na viziba midomo ni hii ni kwa sababu wazee mko wa katika hatari ya kupata maradhi haya mkusanyiko huu ni mkubwa ndio maana tumeona tuvae barakoa" Rais Samia Suluhu Hassan.
"Kama mnavyojua dunia iko kwenye janga la Corona na waathirika Wakubwa wa ugonjwa huu ni (wazee) wenye umri mkubwa kwa kutambua hilo niwape taarifa wazee wangu niwape taarifa wazee wangu kwamba kamati niliyoiunda ya kushughulikia jambo hili wamekwenda vizuri na kazi yao na hivi karibuni wataleta ripoti kwangu. Yale yote ambayo yanafanya wazee wawepo kwenye hatari kubwa kwenye maradhi haya tutakwenda

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE