Samia Suluhu "Tutazingatia UTEUZI wa Wazee Katika vyombo vya maamuzi"
"Bahati mbaya mmezungumza nami wakati tukiwa tayari tumemaliza nafasi za uteuzi, lakini kwa siku za mbeleni suala la uteuzi wa wazee katika vyombo vya maamuzi tutalizingatia" - Rais Samia akizungumza na wazee wa Dar es Salaam.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE