TANESCO yaeleza kinachoendelea mfumo wa LUKU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeeleza kuwa huduma ya manunuzi ya LUKU sasa inapatikana kupitia mitandao ya Simu na Benki.

Aidha imeongeza kuwa ofisi zote za TANESCO Wilaya na Mikoa zitaendelea kutoa hudumu kwa saa 24.

Imesisitizwa kuwa wataalamu wake wanaendelea kuangalia ufanisi wa mifumo ya manunuzi.

Kwa upande mwingine Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 20, 2021 amezungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi  na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kwenye Makao Makuu ya zamani ya Shirika hilo Ubungo jijini Dar es salaam.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad