Tanzania Mbioni Kuanza Kutumia 5G

advertise here


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabir Kuwe amesema kuwa Tanzania inaelekea kutumia huduma ya 5G


Majaribio ya huduma ya #5G yatafanyika ili kuhakikisha kasi ya Teknolojia inayotakiwa inapatikana ili kuongeza Huduma ya Mawasiliano ya #Data nchini


5G ni kasi ya mtandao ambayo huweza ku-download hadi 10Gbps

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE