Mfanyabiashara mkubwa na bilionea wa Kitanzania, Haroon Zakaria amefariki dunia hii leo Mei 1, 2021. Zakaria ndio Mmiliki wa Makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills, Zan Fast Ferries na Majipoa.
Taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake na taratibu za mazishi zitakujia hivi punde.
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA