.

5/24/2021

The Weeknd ashinda Tuzo 10 za Billboard 2021
 Mkali wa RNB Kutokea Nchini Canada TheWeeknd ndiye Msanii aliyeongoza kwa kushinda Tuzo Nyingi zaidi katika Tuzo za Muziki za Billboard 2021 Zilizotolewa Usiku wa kuamkia Leo
The Weeknd ameshinda Jumla ya Tuzo 10 ikiwemo Top artist, Top Male Artist, Top R&B Artist, Top Hot 100 Artist, Top R&B Male Artist, Top Radio Song, Top Radio Songs Artist, Top male artist, top Hot 100 song kupitia Ngoma yake “Blinding Lights” na top R&B album kupitia Album yake ya “After Hours.”


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger