.

5/31/2021

Uhamiaji yawachukulia hatua askari wake walikosea


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala, amesema Idara ya Uhamiaji Tanzania, imewasimamisha kazi askari wake watatu kwa kukiuka maadili ya kazi zao.

Makalala ameeleza kuwa askari hao walioonekana kwenye video fupi wakitumia nguvu dhidi ya mtuhumiwa wa utapeli Alex Raphael Kyai kitendo ambacho ni kinyume cha sheria na maadili ya kazi yao.

Soma taarifa kamili hapo chiniHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger