Uhuru Kenyatta: Mtu akipimwa Corona Tanzania asizuiliwe kuingia Kenya
“Tungependa kuona wawekezaji wengi wa Tanzania waje wafanye kazi zao zaidi Kenya, wawekezaji wa Tanzania mjue kwamba mko na uhuru wa kufanya biashara zenu hapa bila kuombwa ‘business visa’ na work permits ila mfuate sheria na kanuni zilizowekwa”“Ninataka Mawaziri ambao mnahusika mtatue ule msongamano ambao upo Horiri, Taveta na Namanga magari yaweze kutembea, kama ni cheti cha COVID-19 isiwe ‘issue’ kama mtu amepimwa Tanzania basi iwe sawa aingie Kenya”

 

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE