.

5/24/2021

Wasanii na watu maarufu wateuliwa kuwa mabalozi wa Mazingira na Waziri Jafo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Jafo amewateua  wasanii wa BongoFleva Nandy, Harmonize, Idris Sultan, Monalisa na Wangangazaji Oliver Nyeriga wa Eatv. Millarda Ayo wa CloudsFm na masoud Kipanya pia wa Clouds Fm  kuwa Mabalozi wa Uhamasishaji Utunzaji wa Mazingira Nchini.


Waziri Jafo amewateuwa wasanii hao akiwa Jijini Dodoma kwa kusema Mabalozi hao wameteuliwa kutokana na ushawishi wao kwa jamii ili kuhamasisha utunzaji wa mazingira na upandaji miti.
Aidha mabalozi wengine walioteuliwa na Waziri Jafo ni Afisa Habari wa Klabu ya Simba Haji Manara, Mbunge Esther Matiko, Mbunge Joseph Musukuma, Diamond Platnumz, Sakina Abdulmasoud, mchekeshaji Mai Zumo. Haji Manara, Antonio Nugaz, Nandy, Harmonize, Idris Sultan, Monalisa, Mbunge Esther Matiko, Mbunge Joseph Musukuma, Diamond Platnumz, Mwandishi wa Radio Uhuru Sakina Abdulmasoud na May Zumo.

Waziri Jafo akiwa Dodoma amesema Mabalozi hao wameteuliwa kutokana na ushawishi wao kwa Jamii ili kuhamasisha utunzaji wa mazingira na upandaji miti.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger