“Wekeni Password kwenye simu zenu, lazima”- TCRA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kwa mujibu wa Sheria kila mtu anatakiwa kuweka nywila “Password” katika simu na vitu vingine vinavyohusisha mfumo huo.

Hayo yamebainishwa na Dr.Philip Filikunjombe ambaye ni Msimamizi wa Kitengo cha Usimamiaji na Utekelezaji cha (TCRA) ambapo pia amewataka wananchi wakiwemo Waandishi wa Habari za Kimitandao ya Kijamii kuzingatia Misingi ya Sheria.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad