5/14/2021

WEMA atoa povu zito baada ya kushambuliwa kuhusu ZARI, "Nina mdomo mchafu kama nikiamua"

 


WEMA atoa povu zito baada ya kushambuliwa kuhusu ZARI, "Nina mdomo mchafu kama nikiamua"

Wema Sepetu Ameandika Haya:

Naomba niseme hivi, Sipendi chokochoko... Maana Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha sio... Kama maneno always yanaanziaga upande wa pili but ilivyo ada Wema ndo huonekana mwenye tatizo... Nimechoka... Cause mi mdomo mchafu ninao haswaaaa but kuamuaga kukaa kimya nisionekane mjinga basi... Its Eid at the end of the day... Sitaki chokochoko...‼️ Ifike point niachwe jamani.... Akhaaa...‼️Jus wanted to address this na sitohitaji maoni ya mtu yoyote... Mkadiscuss huko kwa page zenu na sitaki kuziona... Nitakuwa busy na Eid yangu mie... Hope everyone has fun... Too much Love from me to You.


VIDEO:HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger