google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Whozu afunguka kuhusu ujauzito wa Tunda | UDAKU SPECIAL

Whozu afunguka kuhusu ujauzito wa Tunda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kwa mara ya kwanza msanii Whozu amejibu taarifa zinazosemekana mitandaoni kwamba mpenzi wake Cappiccuno Tunda ni mjamzito kwa kusema mpenzi wake huyo sio mjamzito na hakuna kitu kama hicho.


Pia Whozu amesema tayari ameshaandaa jina endapo akipata mtoto ambapo atamuita Lora kwa sababu analipenda sana na tayari ameshachora tattoo ya jina hilo kwenye mwili wake.


"Lora ni jina ambalo nalipenda sana tangu nikiwa nasoma natamani kwenye maisha yangu nikipata mtoto wa kwanza au wa pili lazima aitwe Lora, Tunda hana ujauzito ila hapa nimeongea tu" amesema Whozu 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad