Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Alikiba: Sitaki kumuhusisha mwanangu kwenye mambo yangu mpaka yeye achague upande ingawa anapenda muziki

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREAkiongea na wana habri Alikiba ameonyeshwa kukerwa na swali lililomuhusu Diamond na kusema hapendi hilo swali lakini baada ya kuulizwa kuhusu mambo ya magari pia amesema hapendi magari na simu.

Pia kuhusu mtoto wake kujihusisha na mambo ya muziki Alikiba amesema kuwa ni kweli mtoto wake anapenda sana muziki ila hataki kumuhusisha na mambo ya muziki mpaka yeye atakapochakugua cha kufanya.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments