Anyongwa Kwa Uhalifu Alioufanya Utotoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Saudi Arabia imemnyonga mwanamume mmoja kwa uhalifu ambao makundi ya kutetea haki yanasema alifanya akiwa na miaka 17, licha ya hakikisho la ufalme kwamba umekomesha adhabu ya kifo kwa watoto.

Mustafa Hashem al-Darwish was only arrested in 2015, years after the protests ended

Mustafa Hashem al-Darwish alikamatwa mnamo mwaka 2015 kwa makosa yanayohusiana na maandamano.

Mamlaka nchini Saudia zinasema alishtakiwa kwa kuunda seli ya kigaidi na kujaribu kufanya uasi kwa kutumia silaha.

Lakini makundi ya kutetea haki yalikuwa yametoa wito wa kutotekelezwa kwa adhabu ya kifo dhidi yake, yakisema kesi yake haikuwa ya haki.

Mashirika ya kutetea haki ya Amnesty International na Reprieve, ambayo yanapinga adhabu ya kifo, yanasema al -Darwish ambaye alikuwa na umri wa miaka 26, alikukiri makosa ambayo baada ya kudai wa kuteswa. Mamlaka ya Saudi Arabia haijatoa tamko lolote hadharani juu ya tuhuma hizo.

Kulingana na shiririka la habari la Reuters, mashataka dhidi ya al-Darwish yalijumuisha “kutaka kuvuruga usalama kupitia maandamano” na “kuzua ugomvi”.

Ushahidi dhidi yake ulijumuisha picha “ya kukera kwa vikosi vya usalama”, na ushiriki wake katika mikusanyiko zaidi ya 10 ya “ghasia” mnamo mwaka 2011 na 2012.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad