Askari Watano wa JKT Washikiliwa Kwa Tuhuma za MauajiJeshi la Polisi Mkoani humo linawashikilia Askari watano wa JKT kwa tuhuma za kumpiga hadi kumsababishia kifo Paulo Joseph(35)

Askari hao ambao walikuwa wakisubiri ajira baada ya kumaliza kipindi cha kujitolea walimtuhumu Paulo kumpiga Askari mwenzao

Watu wengine watano walipigwa na Askari hao akiwemo Michael Mrema, Dereva wa gari la abiria inayofanya safari zake kati ya Bweri na Mjini kati

Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Wananchi 27 KJ MAKOKO, Kanali Mushashi, ameahidi kushirikiana na wafiwa katika shughuli zote za msiba kwani waliohusika na mauaji wapo chini yake.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE